Ua4
Member
- Aug 30, 2016
- 32
- 54
Habari za majukumu wakuu?
Nahitaji msaada wa information. Kuna mzigo wangu nimeuagiza kutoka huko ugaibuni. Sema huu mzigo una utata kidogo.
Sasa nilikuwa nahitaji kama ningepata afisa wa TRA anisaidie japo mawazo tu ili niokoke kwenye hili janga. Maana naona ni kama jumba bovu linataka kuniangukia.
Tafadhari kama huyo afisa hatajali aje PM aniokoe hata kwa mawazo tu.
Mzigo wenyewe ni gari.
Shukrani sana wakuu.