Naomba msaada kuhusu tatizo la bluetooth kwenye PC

ommy clear

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
214
Reaction score
58
Hi, wana jf,

Natumia HP brobook 430, corei3 lakini nimejaribu kutafuta icon ya bluetooth siioni, nimetafuta mpaka basi lakin nikitaka ku-send naiona option pia ya bluetooth ipo ila nikijaribu kusend inagoma, kwenu wataalam naomben kujua shida nini na nifanye nini ili nipate bluetooth kwenye pc yangu au ni mpaka niende kwa fundi PC?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…