Email account yangu ya yahoo niliofungulia account hapa JF imeblock na sina access yoyote ya kufanya kwenye mambo yangu kadhaa niliyotumia kwa account hiyo ya yahoo ikiwemo ht kufanya editing kwenye profile yangu.
Je, kuna njia nyingine yyt naweza kufanya kuweza kuedit profile yangu?