Naomba msaada kuhusu Nokia x2-01

Naomba msaada kuhusu Nokia x2-01

Mshua's

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2013
Posts
806
Reaction score
555
Inatatizo la kijizima na kujiwasha ninapoitumia kwenye internate, haifungui phonebook wala sms, mtu akipiga haionyeshi action yoyote ila anasikia inaita. Naomba msaada tafadhali?
 
Jaribu kuback up vitu kwene memory card then format na urestore
 
Hivi mkuu, memory card ndiyo hutunza phonebook na sms? Nilishajaribu kitoa kabisa M.card lakini tatizo liko pale pale. Msaada kwa mwingine anayeweza ku solve tatizo hili
 
Unachotakiwa kukifanya hapo ni ku restore

Au haujui njisi ya kufanya restore???
 
Mkuu sifahamu jinsi ya kufanya restore naomba unielekeze tafadhali.....!
 
sikumaanisha uformat memory card.... fanya kwenda settings>security> restore factory default then passcode ni 12345 kama hujawahi kuzibadilisha... then ikimaliza kurestore..itajirestart.. then uende kwene settings> sync and back up then chagua restore back up
 
Mkuu nashukuru ngoja nijaribu ntarudisha feedback baada ya kujaribu!
 
sikumaanisha uformat memory card.... fanya kwenda settings>security> restore factory default then passcode ni 12345 kama hujawahi kuzibadilisha... then ikimaliza kurestore..itajirestart.. then uende kwene settings> sync and back up then chagua restore back up

Mkuu nimeenda settings>security baada ya hapo option ya 'Restore Factory Default' sijaiona zinakuja optio zingine tu, je, kuna sehem nimekosea?
 
Mkuu ubarikiwe sana nimefuata procedures imekubali. Mungu akubariki katika shughuli zako!

Mkuu jaribu ku download application yoyote ile
iki kubali nambie?
.
 
Back
Top Bottom