Kingeke Mavoya
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 619
- 599
hahahah!Kijana, hili halitakuja kwenye mtihani uelezee.
By the way, hujui TEZI, OMO, MAREJEO, NGAMA (NI)????
Ndo kawaida yetu wabongo kama kuimba nyimbo hatujui tunafuatiza kwa uruzi.Kijana, hili halitakuja kwenye mtihani uelezee.
By the way, hujui TEZI, OMO, MAREJEO, NGAMA (NI)????
Dawa yako kulogwatuOMO ile sabuni ya unga au....
mkuu nieleweshe omo ni nini basi kama sio sabuni ya unga...Dawa yako kulogwatu
OMO ni sehemu ya mbele ya chombo cha baharini..jina lingine ni njeli au gubetimkuu nieleweshe omo ni nini basi kama sio sabuni ya unga...
ina maana rahisi tu,Utaenda/utazunguka kila mahali ila utarudi nyumbani(nyumbani ni sehemu nzuri/salama) ni sawa na ule msemo wa Kiingereza go east,go west home is the best.
Tezi ni mbele kwa jahazi na omo ni nyuma. Ngamani ni katikati. Hutumiwa kama kumpasha mtembezi, waruwaru asiyetulia. Kwa hiyo, maana yake ni kuwa: nenda uendako lakini utarudi tu hapa, kwa mfano nyumbani.Habari zenu wakuu nina msemo ambao kwangu nimgumu kidogo hivyo nilikua naomba msaada nifahamu kwamba:-
Nini maana ya msemo "MWENDA TEZI NA OMO, MAREJEO NGAMANI"