Naomba msaada kuhusu mambo haya katika Ajira Portal

Naomba msaada kuhusu mambo haya katika Ajira Portal

Rahimu kiwani

Member
Joined
Jun 14, 2022
Posts
58
Reaction score
49
Hivi hizi sehemu natakiwa kufanyaje? Naombeni ufafanuzi hapo ktk verification certificate, ndo aina gani ya vyeti??

Na pili hapo saved academic transcript nayao ni nini??? Elimu yangu ni chuo cha kati naombeni mnisaidie.

Screenshot_20220616-060720.jpg
Screenshot_20220616-060744.jpg
 
Hivi hizi sehemu natakiwa kufanyaje?? naombeni ufafanuzi hapo ktk verification certificate, ndo aina gani ya vyeti?? Na pili hapo saved academic transcript nayao ni nini??? Elimu yangu ni chuo cha kati naombeni mnisaidie View attachment 2262335View attachment 2262336
Hapo kwenye verification certificates in kama umesoma nje ya nchi, kama elimu zote umesoma humuhumu Tanzania hapo hapakuhusu.

Kwenye saved academic transcripts ni unaingiza transcripts.
 
Pia hakikisha Nakala za vyeti na transcripts unazoambatanisha zimekua Certified by Attorney.
 
Samahani unaeeza nifafanulia zaidi hapo ktk academic transcript ni aina gani ya nakala au programme ipi hapo inahusika direct?
 
Pia hakikisha Nakala za vyeti na transcripts unazoambatanisha zimekua Certified by Attorney.
Samahani unaeeza nifafanulia zaidi hapo ktk academic transcript ni aina gani ya nakala au programme ipi hapo inahusika direct?
 
Wakuu mm account yang nimesahau password ya ajir portal nimejarb san kufosi ilaa inagom msaada

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Bonyeza pale forgot password watatuma email ya verification kweny email uliojiungia na utaingia kweny email yako na kuverify kuwa ni wewe hapo utaunda password mpya,

NB: Huwa inazingua pia kutuma verification email utachotakiwa ni kuforce pale pale kweny forgot password na Resend Email, mkuu
 
Nimefanya kama ulivyosem sem inaandika password reset email sent nikiend verification ten then narudishiw pale forget password

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Wazee wa kazi, heshima zenu kwanza. Huku kwangu AJIRA portal haipokei picha ya profile photo aisee shida nini??? Inaishia Ku load tu jamani
 
Back
Top Bottom