Naomba msaada kuhusu madishi ya FTA

Naomba msaada kuhusu madishi ya FTA

sidhani kama unaweza tumia Receiver ya Pay TV kupata FTA ambazo ziko satellite tofauti na iliyo specific na hiyo TV Yaani receiver ya dstv utapata FTA za DSTV ambazo hazina maana lkn hauwezi kupata za satellite nyingine Tafuta receiver ya MPEG4 tena inayo edit bisskeys
asante mkuu
 
Back
Top Bottom