Naomba msaada kuhusu madishi ya FTA

Naomba msaada kuhusu madishi ya FTA

potrayed

Senior Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
189
Reaction score
84
Ndugu zangu naombeni kujuzwa juu ya size ya dish la offset(ku-dish) ili niweze kupata eutalsat 8 west a , amos 5 , thaicom 5 nawakilisha nipo Dar-Es-Salaam,eneo la Chanika,Buyuni
 
Nami naomba msaada
Niko na dish la dstv ku band na iko set up nz East satelite naomba setting ili niweze pata FTA
 
ndugu zangu naombeni kujuzwa juu ya size ya dish la offset(ku-dish) ili niweze kupata eutalsat 8 west a , amos 5 , thaicom 5 nawakilisha nipo Dar-Es-Salaam,eneo la Chanika,Buyuni

unamaanisha 3 lnb on 1 dish au separately?
maana naona kama amos 5 iko east na hiyo 8west sijui utazitega vp or less you must be an innovator
 
kama umeacha kutumia DSTV basi ligeuze dish kuja Amos 5 utapata FTA za continental
 
unamaanisha 3 lnb on 1 dish au separately?
maana naona kama amos 5 iko east na hiyo 8west sijui utazitega vp or less you must be an innovator

izo sat zote beam zake ziko west.. ila inaitaji kazi ya ziada kuzicombine pamoja mana amos iko kulia kidogo alaf ni juu... na io w8 iko usawa wa ses@5 ambapo inekaribiana kidogo na nile sat...

sio raisi kama hauna ujuzi wa ku hunt sat... ika inawezekana .
 
Nami naomba msaada
Niko na dish la dstv ku band na iko set up nz East satelite naomba setting ili niweze pata FTA

poteza dstv kwanza kisha ndio tuanze kukushauri kuhusu fta... je uko tayari kuachana na dstv ili upate fta.? kama hauko tayari basi.. endelea na dstv yako na fta hauta zipata ktk io angle.
 
ndugu zangu naombeni kujuzwa juu ya size ya dish la offset(ku-dish) ili niweze kupata eutalsat 8 west a , amos 5 , thaicom 5 nawakilisha nipo Dar-Es-Salaam,eneo la Chanika,Buyuni

kuhusu dish pf ya ft6 inafaa ila nakushauri ft8 ndio nzuri zaidi.
 
poteza dstv kwanza kisha ndio tuanze kukushauri kuhusu fta... je uko tayari kuachana na dstv ili upate fta.? kama hauko tayari basi.. endelea na dstv yako na fta hauta zipata ktk io angle.

Nadhani ndo maana niko hapa la sivyo usingeniona hapa kutafuta msaada, so let me see how unavyonisaidia kutatua na kuachana na dstv for good
 
?????????????????????????????????

wa tz sijui tukoje.? mtu umepewa namba ya cm alafu unajifanya haujui matumizi ya namba ya cm kweli.? afu ndounajifanya unashida ya kupata fta..? kweli.? mawasiliano yangu nimekupa kama unashida nitafute kama hauna kula bati tu haisumbui akili.
 
Kuna Hofu ya kuchargiwa hela nahisi hivyo labda kaogopa.
 
tangu nianze kuwasaidia watu humu ndani... sijawai kumchaji mtu pesa yeyote hata centi tano, nenda kasome uzi wa elimu ta bure kuhusu azam tv... ukiona kunamtu kachajiwa pesa... niko radhi kuachana na jf maisha yote.... niwangapi nawapa msaada bure humu tena kwa bandle zangu.?

wangapi nawasaidi free mpaka kwa njia ya wasapu humu ndani,.? nakuruhusu anzisha uzi wa malalamiko kuhusu ph kuwachaji pesa watu humu ndani ili wapate fta uone jinsi utakavyo pingwa....

siamini ktk pesa,utu kwpangu ndio kitu cha msingi....

hanashida yeyote uyo ... na wala asinitafute kabisa... mafundi wako wengi humu watamsaidia ... ende zake kule.
 
Nami naomba msaada
Niko na dish la dstv ku band na iko set up nz East satelite naomba setting ili niweze pata FTA

Hapo ni simpo sana geuza dish lako lione magalibi basi hapo waweza kutegesha Amos5@17e au ses 5 kama unapenda fta za nje pia eutelsat@7e kuna chanels za bule ila receiver itabadilika tafuta Wiztech8010hd hapo ful makamuz
 
Kwa anae taka msaada wa kimawazo juu ya ufungaji wa madish nipo tayari kukupa elimu pia kama unahitaji huduma ya kufungiwa dishi la aina yoyote kulingana na mahitaji yako basi napatikana haswa kwa walio kanda ya ziwa mwanza,shytown msoma bukoba na nzega pia
 
jamii forum idumu daima imenitangaza sana through jamii forum igot a chance to perform instollation services in uganda also igot alarge number of customers within my country Tz ,kazi iliyo bola itatung'arisha wadau tunao husika na instollation service.One love to you all
 
Singida unafika mkuu, naomba unisaidie na mm nahitaji kupata chanel za bure nifanyeje?.
 
Je risiva ileile ya dstv au unabadilisha?.

sidhani kama unaweza tumia Receiver ya Pay TV kupata FTA ambazo ziko satellite tofauti na iliyo specific na hiyo TV
Yaani receiver ya dstv utapata FTA za DSTV ambazo hazina maana lkn hauwezi kupata za satellite nyingine
Tafuta receiver ya MPEG4 tena inayo edit bisskeys
 
Back
Top Bottom