Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,877
Inategemea na sehemu,kuna sehemu nyingine wanaitaji wakuone, nyingine barua ya chuo , nyingine hata ya fieldNilikuwa nauliza hivi, nimemaliza chuo Mwezi huu..
Matokeo bado hayajatoka mpaka mwezi wa nane.
Je kwa mfano nataka kuandika barua mahali Fulani nikiwa na Lengo la kujitolea...
Nina takiwa kuambatanisha kitu gani ili kuthibitisha kuwa na taaluma ya kazi husika??
Ahsante karibuni kwa ushauri mzuri
Mimi napeleka barua makao makuu ya polisi mkoa wa temekeInategemea na sehemu,kuna sehemu nyingine wanaitaji wakuone, nyingine barua ya chuo , nyingine hata ya field
Bado matokeo ya last semester hayajatokaTranscript.
Progress report ya matokeo yako Hadi semester ya TanoBado matokeo ya last semester hayajatoka
Nashukuru sana mkuuProgress report ya matokeo yako Hadi semester ya Tano
Transcript ukihitaj unapewa Mkuu sio lazma matokeo yawe yametoka MkuuNashukuru sana mkuu
Dr issue ni kwamba matokeo ya semester six bado siunajua tena mnmaTranscript ukihitaj unapewa Mkuu sio lazma matokeo yawe yametoka Mkuu
Okay Ila pia Andika barua vizuri then kachukue provision result utalipia kama 5K .Dr issue ni kwamba matokeo ya semester six bado siunajua tena mnma
NakubaliOkay Ila pia Andika barua vizuri then kachukue provision result utalipia kama 5K .
Then nakutakia majukumu mama Temeke kuna crisis nyingi za unyanyasaji pamoja na ndoa .
Nishapata Muongozo mkuu
😁😁umo umoUmesoma MNMA gender
Kumbe familia😁😁umo umo
Hahahaha ndio familia oya pande za wapi familiaKumbe familia
Nalima migomba huku RUFIJIHahahaha ndio familia oya pande za wapi familia
Daah kweli kaka kupambana juu ya kupambana elimu hii miyeyusho sanaNalima migomba huku RUFIJI
Nakucheki PMNalima migomba huku RUFIJI