Naomba msaada kuhusu kilimo cha mpunga

igihumbi

JF-Expert Member
Feb 20, 2017
441
350
habari wana jf naomba msaada wenu kama kuna mtu anaelima kilimo cha mpunga shadidi nahitaji kuingia katika hiki kilimo kwani nimeona ni chenye tija na manufaa.
naomba kama unafanya hichi kilimo ni pm mawasiliano yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom