Nina mwanangu wa kike, matokeo ya kidato cha nne si mazuri, lakini kuna mtu kaniambia kwa matokeo yake anaweza kuanza na certificate in IT.
Naomba kujua mtu mwenye division 4 ya 27 inawezekana akakubaliwa kusoma IT?
Iwapo inakubalika ataweza kuendelea na diploma kisha degree?
Natanguliza shukrani, maswali zaidi nitauliza nikijibiwa haya.