Naomba msaada kuhusu Expression of interest

Naomba msaada kuhusu Expression of interest

mtanzalendo

Member
Joined
Aug 29, 2014
Posts
74
Reaction score
121
Hello everyone!

Naomba msaada wa kupata sample/template ya 'expression of interest' kwa ajili ya individual consultants.

Kuna sehemu nataka kupeleka maombi ya project management so wanachotaka ni expression of interest na mimi sijawai jaza hicho kitu. Hawataki application letter.

Nikipata sample au mfano uwa inakuwaje kwa individual consultants itaniongoza kuandika yangu.
Nimejaribu ku-google naona kama zinanichanganya.
Msaada wenu wadau!

Email yangu ni

mzalendo255@gmail.com
 
Just google with the right terms utapata kila kitu please... hivyo google utapata mahali pa kuanzia. Nimekupa mfano,

1611647193461.png
 
Just google with the right terms utapata kila kitu please... hivyo google utapata mahali pa kuanzia. Nimekupa mfano,

View attachment 1686485
Okay asante mkuu, naomba kwa kuwa wewe unamwangaza kidogo, kama hautojali unipe brief ya vitu gani haswa vinatakiwa kwenye hiyo document.

Nitajie tu kwa bullets.
 
Okay asante mkuu, naomba kwa kuwa wewe unamwangaza kidogo, kama hautojali unipe brief ya vitu gani haswa vinatakiwa kwenye hiyo document.

Nitajie tu kwa bullets.
Expression of interest for individual consultants contains.
1. Cover letter
2. Resume
3. General statement ...500 words max
4. Financial proposal/ bajeti yako yote ukifanya hiyo kazi yao.

Hakikisha pages zisizidi 5.
 
Back
Top Bottom