Naomba msaada kuhusu DAAD scholarship ya Ujerumani

Gooodwin

Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
78
Reaction score
66
Habari wandugu, kwa yeyote yule ambae amewahi kupata scholarship ya Ujerumani kupitia DAAD Scholarship naombeni msaada nami nijaribu kuomba. nitashukuru kwa mawazo yenu.
 
Attachments

Nenda kwenye website yao download ile green form ijaze ile form inavotaka, then nenda pale Goethe institute watakupa maelekezo zaidi,

.ukiwa na gpa kuanzia 3.2 unaweza kuchaguliwa, afu nakushauri nenda pia pale ubalozi wa uingeleza wanascholarship mzuri wakati. Kam uu
 
Ubalozi Hapa bongo au nje
 
Nenda kwenye website yao download ile green form ijaze ile form inavotaka, then nenda pale Goethe institute watakupa maelekezo zaidi,

.ukiwa na gpa kuanzia 3.2 unaweza kuchaguliwa, afu nakushauri nenda pia pale ubalozi wa uingeleza wanascholarship mzuri wakati. Kam uu[/QUOTE

AHSANTE SANA KWA CONSTRUCTIVE FEEDBACK.
 
Chuo gani unachotaka kusoma ujerumani - mi nimesomea PASAU UNIVERSTY - UJERUMANI

sent from toyota Allex
 
Back
Top Bottom