Yangu TECNO M9 ilidondoka ikapasua kioo, nikampa jamaa akawapelekea mawakala Nairobi wakaweka kioo kingine kipya kwa kilo 2.5, ikawa mpya na huwezi jua kama kioo kilibadilishwa. Sasa hivi kwa Mwanza wapo wachina wenyewe mawakala wa TECNO wanafanya kila aina ya ufundi wa hardware na software za TECNO. Wapo Rwagasore ghorofa jipya.
Naudalali yako ngapi ??Mkuu siyo lcd hapa utakuwa unaongelea screen touch, hiyo inabadilishwa vizuri tu haina shida kabisa gharama yake mahala popote pale kwa hapa Tanzania haiwezi kuzidi tsh 30,000 ,35,000-40,000 kwa mchanganuo ufuatao;
- Screen touch, tsh30,000-35,000
- Fundi tsh5000
Kuweka hiyo screen touch siyo kazi ngumu ni issue ya kufungua na kupachika nyingine haihitaji kuchoma wala kuongeza ujuzi wowote wa ziada, kiasi kwamba hata wewe mwenye ukiwa mtundu unaweza kufungua nakuangalia hivyo vingine ilivyokuwa imewekwa na uka-replace, ukipeleka kwa mafundi wajawaja komaa nao wazikuombe zaidi ya hiyo tsh5000.
Udalali wa nini?Naudalali yako ngapi ??
Mchongo wa. KiooUdalali wa nini?
Yangu TECNO M9 ilidondoka ikapasua kioo, nikampa jamaa akawapelekea mawakala Nairobi wakaweka kioo kingine kipya kwa kilo 2.5, ikawa mpya na huwezi jua kama kioo kilibadilishwa. Sasa hivi kwa Mwanza wapo wachina wenyewe mawakala wa TECNO wanafanya kila aina ya ufundi wa hardware na software za TECNO. Wapo Rwagasore ghorofa jipya.
Siko hapa kuganga njaa, nipo kutoa msaada wa kimawazo na ku-refresh mind.Mchongo wa. Kioo
2.5 k! Mkuu umepigwa
Wakuu kioo cha simu yangu TECNO P5 kimepasuka baada ya kuanguka wiki kama 3 zilizopita, baada ya kupasuka kikaweka crake(kreki)...na kikawa kinafanya kazi kama kawaida lakini kuanzia jana kikaanaza kuzingua YAANI UKITACHI 'I' inabonyezeka 'Y' namba 6 inabonyezeka 4..namba 5 ndo haitaki kabisaa...yani FULL MVURUGANO...
JE! HIKI KIOO KINAWEZA KUBADILISHIKA AU NDO NIFANYE MPANGO WA KUNUNUA KINGINE?..NA KAMA KINABADILISHIKA GHARAMA YAKE INAWEZA KUFIKA SH.NGAPI?.. ni hilo tu.