Hakuna kozi za Maana Zaidi ya MD, endapo utasoma PCB,
Mimi pia Nilisoma PCB, trust me Hakuna option yoyote ya maana zaidi ya Medical Doctor, labda pengine Pharmacy,
Ila kama unaona unapenda Engineering, just go for PCM, engineering is a very interesting career kwa vijana wa kiume, utatengeneza pesa mingi sana in future..
Ila tu nikukumbushe kozi za Kusoma chuo kwa huo msingi wako mzuri wa Science ni Medical Doctor au Engineering, dont ruin it, usijejikuta unasoma Sijui Wildlife au Nursing au sijui Botany,
Mark my words mdogo wangu, right from there, Be focused, ukichagua wrong career path inaweza kukucost Maisha yote, Tulia sana wakati unafanya maamuzi.
Utakapofanya maamuzi, mapema iwezekanavyo ukiwa unasubiri selection, anza kukata pindi za Physics na Kemia kama utasoma PCB, Biology sio ngumu muhimu uwe tu na sylabus, hata mwenyewe unaweza soma,
Na kama utaenda PCM basi anza kukata pindi za Namba, kemia na Physics,
Technique ya kutusua pepa A-Level ni kuyataimu madude, yaani unapoingia Form Six uwe ushamaliza topics zote, ule mwaka wa form six ni kusolve pepa za kutosha na kurevise madude, sio kukata topics tena, ukimbwela utaumbuka, hizi kombi ni mziki mnene. Wengi huja na One za Saba halafu Advance wana differentiate constant.