Unataka kuwa nani baadae?
Engineer au Medical Doctor,
Tukushauri kuanzia hapo.
Naona PCM na PCB zote unazimudu vizuri tu, Kwamba una msingi mzuri
BINGWA WA HESABU MCHIKICHINI NI MWALAMI AU MWALAMSHA NA BIOS KWA ORGANIC AMTAFTE MBUGA KWAN ANA NOTES NZURI KWA PHYISCS AMATFTE MUDDY KWA LECTURE ILA NOTES AKACHUKUA KWA MGOTE ILA ACHIMBE ZAIDI MASWALIKabla haujapewa ushauri, inabidi ujue kama masomo gani wewe unayaweza bila kutumia nguvu sana
Kama ukichagua pcm, pure maths mtafute mnegro alikua anapatikana mchikichini(ukienda uko ukimuulizia utampata), uyo fundi wa maths
Sent using Jamii Forums mobile app
Hesabu ni mziki unaoburudisha ubongo, hesabu somo la kipekee, hesabu ukiiweza utafurahi, hesabu ukiisoma utakua na akili inayofanya kazi kama kompyuta.Habari zenu mm nimemaliza form four nimepata chem-B phy-B bio-A na math-B naombeni ushauli kati ya PCB na PCM ni chague ipi na zote na zipenda
Habari zenu mm nimemaliza form four nimepata chem-B phy-B bio-A na math-B naombeni ushauli kati ya PCB na PCM ni chague ipi na zote na zipenda
Napend zote engineer na udocta ila sana sana ni engineering ila wazazi wananishaul nisome PCB sabab itaniwezesh kuchagua coz nying mbeleni
Soma PCB ndio kila kitu una option nyingi za kuchagua course tofauti na PCM.Habari zenu mm nimemaliza form four nimepata chem-B phy-B bio-A na math-B naombeni ushauli kati ya PCB na PCM ni chague ipi na zote na zipenda
Kumbe tupo na watoto humu? Ndio maana naonaga nyuzi za kitoto sometimes
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kozi za Maana Zaidi ya MD, endapo utasoma PCB,
Mimi pia Nilisoma PCB, trust me Hakuna option yoyote ya maana zaidi ya Medical Doctor, labda pengine Pharmacy,
Ila kama unaona unapenda Engineering, just go for PCM, engineering is a very interesting career kwa vijana wa kiume, utatengeneza pesa mingi sana in future..
Ila tu nikukumbushe kozi za Kusoma chuo kwa huo msingi wako mzuri wa Science ni Medical Doctor au Engineering, dont ruin it, usijejikuta unasoma Sijui Wildlife au Nursing au sijui Botany,
Mark my words mdogo wangu, right from there, Be focused, ukichagua wrong career path inaweza kukucost Maisha yote, Tulia sana wakati unafanya maamuzi.
Utakapofanya maamuzi, mapema iwezekanavyo ukiwa unasubiri selection, anza kukata pindi za Physics na Kemia kama utasoma PCB, Biology sio ngumu muhimu uwe tu na sylabus, hata mwenyewe unaweza soma,
Na kama utaenda PCM basi anza kukata pindi za Namba, kemia na Physics,
Technique ya kutusua pepa A-Level ni kuyataimu madude, yaani unapoingia Form Six uwe ushamaliza topics zote, ule mwaka wa form six ni kusolve pepa za kutosha na kurevise madude, sio kukata topics tena, ukimbwela utaumbuka, hizi kombi ni mziki mnene. Wengi huja na One za Saba halafu Advance wana differentiate constant.
Hata pcm inakoz nyingi piaNapend zote engineer na udocta ila sana sana ni engineering ila wazazi wananishaul nisome PCB sabab itaniwezesh kuchagua coz nying mbeleni
Sio kila mtu anasoma kwa lengo la kuajiriwa kuwa msomi basi usiwe kama wale wa vijiweni.Hays majitu hili limada linajadiliwa kila siku
Kasome ufundi veta hayo maujinga utakuja kusugua benchi kitaa ushangae