G GGIRRIMATA Member Joined Sep 27, 2014 Posts 21 Reaction score 1 Jul 28, 2017 #1 Ninajogoo ila kila akipanda jike huyapasua kwa (paga) zake kiasi ambacho huwapelejea kuku jike hadi kukimbia kwa maumivu ya vidonda nini kifanyike juu ya huyu jogoo? Sent using Jamii Forums mobile app
Ninajogoo ila kila akipanda jike huyapasua kwa (paga) zake kiasi ambacho huwapelejea kuku jike hadi kukimbia kwa maumivu ya vidonda nini kifanyike juu ya huyu jogoo? Sent using Jamii Forums mobile app
Ty_Vigilante JF-Expert Member Joined Jan 19, 2015 Posts 2,890 Reaction score 2,460 Jul 28, 2017 #2 Kuchinjwa tuu...soon msimu wa sikukuu unakuja wacha ale ale pumba ajae jae kwanza Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchinjwa tuu...soon msimu wa sikukuu unakuja wacha ale ale pumba ajae jae kwanza Sent using Jamii Forums mobile app