Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Wandugu mwenzenu nimeumbuka, nahitaji msaada au nini cha kufanya. Bado sijawa deep na Wordpress lakini clients wengi nilionao sasahivi wanataka site zao ziwe kwa Wordpressfor for CMS stuff.
Sasa kuna website moja mteja alinipa anataka re-design ila content ni zilezile, mwenzenu nikaona isiwe tabu...nika login kwenye wordpress cpanel na kubofya "or customize the theme completely"
lengo ikiwa ni nibadilishe tu theme kwahyo nikachagua theme, nika "save & publish"...mungu wangu, nikipreview kitu napata logo ya favicon ndio imejaa screen nzima! NIFANYEJE? angalau site ya watu irudi ilivyokuwa. I'm actually learning the hard way lol!