Naomba Msaada jinsi ya kutumia Fifa Update

Naomba Msaada jinsi ya kutumia Fifa Update

nasnee

Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
37
Reaction score
4
Guys, nimedownlod fifa 14 updates files kutoka kwenye moja ya links humu JF but nimeshindwa kuitumia help plz
 
Guys, nimedownlod fifa 14 updates files kutoka kwenye moja ya links humu jf but nimeshindwa kulifanya li work help plz

updates za nn squad ama? Kama ni squads nenda my document kuna folder la fifa 14 extract hizo files(kama ziko zipped) ulizo download ndani ya fifa 14 folder, kisha nenda fungua game halafu nenda kwenye panel ya customize then load squad utaona file hapo, hapo utakuwa umemaliza.
 
Ni update za squad pia wameongeza fifa world cup so kuna mafile mengi yapo zipped..nlijaribu kuextract but imeishia kuchange few icons most of them ni picha tu
 
Oi wadau nawezajee kumfanya my goalkeeper a save penalties also nawezaje kupiga penalties za pembeni nacheza kwenye pc natumia normal USB cable pad ni fifa 2014
 
Back
Top Bottom