Mimi sijaelewa kitu kimoja hapo
je itaconsider penalt kwa mtu aliyefail maths na gs?
Na kingine kwa mtu mwenye zaidi ya masomo 7 itawezaje kuchagua masomo 7 aliyefaulu vizuri ili kupata points na division?
Natanguliza shukrani zangu mkuu
msaada tafadhali Nyasiro