Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,286
Nataka Mozilla Firefox iwe Start page (ili kila ninapofungua ianzie hapo na kunionesha baadhi ya Window vidirisha nilivyoviifungua
ilinipotea baada ya kudownload game ikaja Ask Home Page
nimeingia Settings za Mozilla sipaoni tena pa kurekebishia
ni hayo tu namba msaada huo
ilinipotea baada ya kudownload game ikaja Ask Home Page
nimeingia Settings za Mozilla sipaoni tena pa kurekebishia
ni hayo tu namba msaada huo