Naomba msaada jinsi ya kuanzisha blog

Naomba msaada jinsi ya kuanzisha blog

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
A free and effective blog. Tusaidiane katika hili wadau
 
Mie nilishaanzisha Nyaningabu alinipa muongozo

Mwenyewe nikatengeneza
 
Last edited by a moderator:
A free and effective blog. Tusaidiane katika hili wadau
Too general,unataka msaada dadavua unahitaji kusaidiwa katika maeneo yapi?Kutengeneza au contents au jinsi ya kupata visitors wengi?Tatizo siku hizi tunapenda urahisi sana,hata kujieleza hatutaki.Elezea issue yako in details otherwise watu watakujibu wanavyofikiria wao na si unavyotaka wewe.Effectiveness of a blog is not made up of one component and free is more expensive than something paid for.
"A problem well explained is half solved"
 
kama walivyosema wadau hapo juu,blog content ndo mpango mpangongo.
 
Too general,unataka msaada dadavua unahitaji kusaidiwa katika maeneo yapi?Kutengeneza au contents au jinsi ya kupata visitors wengi?Tatizo siku hizi tunapenda urahisi sana,hata kujieleza hatutaki.Elezea issue yako in details otherwise watu watakujibu wanavyofikiria wao na si unavyotaka wewe.Effectiveness of a blog is not made up of one component and free is more expensive than something paid for.
"A problem well explained is half solved"
nimekusoma mkuu. Nahitaji kuanzisha blog pamoja na kujua namna ya kuiendeleza. Tusaidiane katika hilo
 
Ok,naamini umeshaamua ni mambo gani utataka blog yako ihusike nayo,blog nzuri inategemea na uzoefu wako na ufahamu kuhusu jambo unalotaka kuhusika nalo.Kwa mfano expert wa It anaweza kuanzisha blog ya mambo ya IT,anatoa solution za matatizo yanayojulikana pia unatakiwa uwe unai update on regular bases siyo blog haijawa updated zaidi ya week hii siyo maana ya blog.
Kwa hiyo lazima uwe na resources za kutosha kuhusu hicho kitu ,na pia unatakiwa ujue unawalenga watu wa aina gani na je wana access na internet?Vinginevyo utakuwa na blog isiyo na visitors au kama wapo wachache sana.Watu wengi wana blog ila hawajui inamanisha nini kuwa na blog.
Kama unampango wa muda mrefu be ready to incur some cost kwa mtu wa kukutengenezea siyo vitu vya burebure mtu anablog hata mvuto haina.Tatizo watu wanazani kila mtu anaweza kuwa designer kuna vitu vingi vinahitajika ktk design ili kumfanya users aendelee kuwepo kwenye blog yako,blog si kuweka contents na link,it is more than that.Hata rangi za kutumia zina sababu zake,contents zikae wapi pia inahusika huwekiweki tu kwa sababu unaweza kuziweka.
You have to balance between cost and quality of work,wengi wanataka bure and they are not interested on the quality .
All the best katika kuanzisha blog yako.
 
Unajua kwa sasa ni bora ungeanzisha 2 website maana blog sasa hv n nyng mno.
Kama upo tayar mm nkufundshe yote haya nitafute kupitia my code forum
Bofya hapa
 
Basi wakati ukifika nitakutafuta. Itakuwa soon tu
 
You are welcome,however I do not develop blogs currently,I develop websites,install networks,time and attendance systems,train people on security issues and other less occupied IT issues.Ukiwa tayari wewe tangaza hapa wapo watu wanaofanya hizo kazi vizuri kuna watu wamebobea.Zingatie tu uwe vizuri kwenye mambo utakayokuwa unablog about uwe hata tayari kukaribisha experts kwa ajiri ya articles si lazima kila kitu kiwe ni wewe tu.
 
Pamoja sana
 
natengeneza blog nzuri, pia nitakutengenezea na kuziunganisha na social netwoks popular kama facebook, twitter na instagram pia na namna ya kutuma post ika post kwenye mitandao tote mitatu kwa mara moja, kukuondolea usumbufu wa kuingia katika kila website na kupost. yote hiyokwa 45,000/= tu.
na ukiongeza 15,000/= unapata domain name yako mwenyewe. mfano: www.blogyako.com
 
Unajua kwa sasa ni bora ungeanzisha 2 website maana blog sasa hv n nyng mno.
Kama upo tayar mm nkufundshe yote haya nitafute kupitia my code forum
Bofya hapa
Ila ninachoamini ni kuwa blog zinatembelewa kuliko websites. Pia ni rahisi kupata matangazo kwenye blog kuiko web. Na kuiupdate ni rahisi pia
 
m
natengeneza blog nzuri, pia nitakutengenezea na kuziunganisha na social netwoks popular kama facebook, twitter na instagram pia na namna ya kutuma post ika post kwenye mitandao tote mitatu kwa mara moja, kukuondolea usumbufu wa kuingia katika kila website na kupost. yote hiyokwa 45,000/= tu.
na ukiongeza 15,000/= unapata domain name yako mwenyewe. mfano: www.blogyako.com
kuu me nataka blog nakupate 0717901233
 
Back
Top Bottom