Naomba msaada jinsi ya kuandika @ kwenye computer

Naomba msaada jinsi ya kuandika @ kwenye computer

Pendaelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
13,099
Reaction score
38,704
Habari za wakati huu wakuu
Natumia computer ya simens fijitsu lakini kwenye keyboad zake nimeshindwa kuandika alama @ ambayo ipo kwenye button yenye herufi Q. So naomba maelekezo nibonyeze wapi na wapi kupata @, nawatakieni kila la heri.
 
hold shift then click sehemu ambapo kuna hiyo @,au hold shift then click namba mbili mkuu...
 
hold shift then click sehemu ambapo kuna hiyo @,au hold shift then click namba mbili mkuu...
Asante mkuu shift na @ imekataa labda nijaribu hio shift na namba mbili,asante sana
 
540px-computer-keyboard-japanese-svg1.png
 

Attachments

Fanya hivi,itafute hiyo alama iliyojitokeza baada ya kupiga (shift+@ ) kwenye keyboard ukiipata(mfano ulivyopiga shift+@ ilitokea alama ?, basi saiv piga shift+hyo alama (?) ) ikisumbua njoo nikupe alternative nyingine. Hizi alama huwa zinaalternate wakat mwingine ndo mana ukipiga shift+@ haitokei alama unayokusudia
 
Hold shift button + Q buttton
 
Hold shift + f keys. Anzia f¹ mpaka mwisho utaipata
 
Back
Top Bottom