Naomba msaada jinsi ya ku upload documents kwenye website ya OTEAS

MUROKOZI

Senior Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
127
Reaction score
30
Wapendwa wangu napata shida ku upload documents yaani barua na vyeti vyangu kwenye website ya OTEAS http://196.43.65.187
Naomba kwa yeyote mwenye namna ya kunisaidia maana kila nikijitahidi haviendi.

Natanguliza Shukrani.
 
Wapendwa wangu napata shida ku upload documents yaani barua na vyeti vyangu kwenye website ya OTEAS http://196.43.65.187
Naomba kwa yeyote mwenye namna ya kunisaidia maana kila nikijitahidi haviendi.

Natannguliza Shukrani.
Naomba Msaada ni miongoni mwa wanaoapply Nafasi mpya kwa walimu wa kiingereza.
 
Wapendwa wangu napata shida ku upload documents yaani barua na vyeti vyangu kwenye website ya OTEAS http://196.43.65.187
Naomba kwa yeyote mwenye namna ya kunisaidia maana kila nikijitahidi haviendi.

Natannguliza Shukrani.
mimi pia napata tatizo kama lako nadamka uciku sana pia kujaribu lakini wapi ushauri umejaribu kuwacheki ci kuna namba zao pale
 
Inasumbua sana kwa sababu watu wengi wanaapload. Subiri usiku sana ndio ujaribu
 
Back
Top Bottom