Naomba msaada jinsi ya ku upgrade iPad iOS

Naomba msaada jinsi ya ku upgrade iPad iOS

kabiriga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
1,163
Reaction score
1,213
Hiki ki IPad changu kina Ios 5.1 nawezaje kuiapgrade mpaka iOS 7.1?
tafadhali sana waungwana,naomba Msaada wa kufanya Hilo atua kwa atua
 
Ukitaka kuupdate iOS 7 lazima uwe na bando la kutosha 2GB. Kama unatumia laini ya voda nunua bando la wiki unlimited sh 12500/= Lakini voda wajanja kumbe sio unlimited wanakupa 2GB baada ya Hapo spidi inashuka. Nakushauri usitumie tigo coz spidi yao iko slow tena 2GB sh 19000/= monthly....

JINSI YA KU UPDATE nenda SETTING-GENERAL-SOFTAWARE UPDATE then download.
 
Ukitaka kuupdate iOS 7 lazima uwe na bando la kutosha 2GB. Kama unatumia laini ya voda nunua bando la wiki unlimited sh 12500/= Lakini voda wajanja kumbe sio unlimited wanakupa 2GB baada ya Hapo spidi inashuka. Nakushauri usitumie tigo coz spidi yao iko slow tena 2GB sh 19000/= monthly....

JINSI YA KU UPDATE nenda SETTING-GENERAL-SOFTAWARE UPDATE then download.

Mkuu ni 152mb baana afu ios 7.1 kama unatumia voda bora uache maana tethering inakataa
 
Kama una pc fanya hivi. Unganisha mtandao kene pc yako, download software inaitwa ''itools''. Hakikisha ni new version. Pia hakikisha pc yako ina installed itunes software ambayo iko uptodate kabisa. Hii itasaidia kuifanya itools iweze kuoparate. Baada ya hapo hakikisha una bando la kutosha kwenye pc yako, then ingiza link itakayokufanya udownload iOS 7.1 na utaitupia kwenye desktop ukishaidownload. Sasa hapo unaweza kuinstall ios yako kwenye ipad yako kupitia software ya itools. Fungua itools software yako huku umeunganisha ipad yako kwenye pc yako thru USB, (hii itools hauhitaji kuinstall, ukiclick icon tu inafunguka), then nenda kwenye kipengele cha apps kilichopo kwenye itools, kifungue na uchukua ios software yako kutoka kwenye desktop kisha itupie kwenye apps center hiyo ambapo utaziona na software zingine zilizopo kwenye ipad yako. Ukishatupia tu ipad yako itakuprompt kukubali au kukataa new version ya IOS 7.1. Kazi ni kwako kukubali au kukataa.

But please notice.... Angalia aina ya ipad yako kwenye mtandao coz unaweza kuweka iOS ambayo haisupport na ikawa locked,pia Kama kuna vitu unataka kuwa navyo/kuvitunza kwenye ipad yako after ios installation hakikisha umevitoa na kuviweka kwnye pc yako kabla ya kufanya kamchezo haka/installation. Hii software ya Itools ndio itakupa options ya kuweza kuzitoa/export picha zako, video zako, music na application zako zilizopo kwenye ipad na kuziweka/kuzitunza kwenye pc ili uje kuziweka badae after installation kwamaana ukiziacha zitafutika zoote baada ya new iOS kuingia kwenye ipad yako. Baadae utakuja kufanya mchezo wa kuzi-import upya kwenye ipad yako after iOS installation. Kama sijaeleweka niambie nikueleweshe zaidi but am sure ukifuata maelekezo haya utafanikiwa ku-update iOS ya ipad yako kwa njia rahisi zaidi kuliko ile ya kupitia ipad yenyewe ambayo imekuwa ukisumbua watu wengi kwenye hatua za mwisho kabisa due to our local networks ambazo ni za kijangili/wizi tu.

Kila la kheri mkuu ukitaka na njia nyingine niambie pia nitakupa.
 
Mimi iPad yangu ni iPad mini je? Naweza kui Upgrade kutoka IOs ver 5.1 kuwa ver 7.12 nahitaji Nijue mapema ili nisije nikaharibu
 
Mimi iPad yangu ni iPad mini je? Naweza kui Upgrade kutoka IOs ver 5.1 kuwa ver 7.12 nahitaji Nijue mapema ili nisije nikaharibu

Ndo unaweza kui upgrade. Kama kawaida nenda SETTING - GENERAL - SOFTWARE UPGRADE - DOWNLOAD

Acha ipad yako hadi imalize yenyewe Ku upgrade..
 
Back
Top Bottom