Naomba msaada jinsi ya ku unlock huawei Y -300

Kashindi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
349
Reaction score
250
Habari za jioni wadau naombeni msaada jinsi ya ku unlock simu ya huawei ya tigo ili iweze kutumia mitandao yote
Natanguliza shukurani zangu za dhati.

Kashindi
0754224104
 
Je, unataka kufungua y300 yako huawei ya mkononi? Kwanza unaweza kutembelea tovuti hii Mobile-unlocker.com hapa unaweza kupata kanuni kufungua na kufungua huawei yako y300 Mkono urahisi. Ili kupata code una kutaja ambayo nchi imefungwa sasa, mtandao wa mtoa na IMEI idadi. Kisha wao kutuma kufungua code kupitia barua pepe.
 
.
Hiyo website tajwa hapo juu mbona sio bure?
.
Na kama ni hivyo, kwann aende huko wakati kuna watu humu humu ndani wanaweza?
.
Hebu tubadilike na tuache kuwanufaisha wazungu!
.
 
Back
Top Bottom