Wakuu naomba kujua utaratibu wa kuhairisha chuo na gharama zake maana nimechaguliwa MIHAYO TABORA ila mkopo nimekosa, hivyo nataka kuhairisha ili mwaka kesho nisiangaike na TCU na mwaka huu niutumie kutafuta pesa ya kujisomesha.
NATANGULIZA SHUKURANI KWA ATAKAE NISAIDIA USHAURI.
NATANGULIZA SHUKURANI KWA ATAKAE NISAIDIA USHAURI.