Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,425
mwanzon haikuwa hvo.na pia apps ninazo install kama whatsapp hazitokei kwenye display (shotcut) ila ukienda file manager unaziona ila huwezi kutumia.ukiiclick kuna option ya uninstall tu
simu nying za android zipo hvo ila hilo sio tatzo,huwa linaisha uki restart simu,kama bado itagoma restore
Ukitaka kuondoa safe mode bonyeza kitufe cha select chini na kitufe cha on kwa pamoja ukushikilia utaweza kuondoa na apps zako zote utaziona kama kawaida