Naomba msaada hata kwa ushauri utaofaa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada hata kwa ushauri utaofaa!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Blad blase, Oct 24, 2012.

 1. B

  Blad blase Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Amani iwe juu yenu!

  Mim ni kijana 22, elim yang ni kidato cha 4, naishi Dar.
  Nna ujuzi mzuri wa kompyuta (basic computer application). Pia nna ujuzi mzuri wa Graphics Design kwa kutumia Adobe photoshop na Adobe Illustrator. Graphics Design ni ndoto yang lakn nashndwa kujiendeleza kutokan na pumz ya taifa letu (umaskini). Pia nnatafta kibarua kitachonsaidia kujisomesha lakn hadi leo sijafanikiwa.
  Leo naomb msaada wenu wanajamii na watanzania wenzangu nikiwa kam mtoto wenu, mdogo wenu, kaka yenu n.k.

  Contact zangu:
  0765693639
  bladsome@hotmail.com
   
 2. m

  mattnard Senior Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 14, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  pole sana kaza dogo
   
Loading...