GRAPHICS AND VISUAL EFFECTS ,music producer, IT, nk(Anatafuta kazi)

Lupamba's grandson

JF-Expert Member
Jan 9, 2015
1,232
1,192
Habarini wadau ,nina mdogo wangu ambaye anachet cha form 4,ana C mbili na D flat. Alipitia shot course ya HIV/AIDs and canceling ,Wakati huo akiwa ni ni mpiga vyombo mzuri kanisani akajiingiza kwenye maswala ya audio production akaja kuwa producer na akachukuliwa na studio moja kubwa tu hapa arusha akafanya kazi miaka miwili akaacha kutokana na maslai madogo afu kazi nyingi, akaingia kwenye kujifunza maswala ya video production akakomaa vyema ,bahati akapata nafasi kufanya wokshop ya maswala ya video lighting, stage lighting ,IT, webdesigning, phitoshop, sound enginering pale British council, na akapewa vyeti baada ya kumaliza workshop, kwa sasa aliuwa anafanya vipindi vya tv kushut na kuedit, na pia graphis za motion na stil ,na vipindi vipo kashapeleka kama demo, sasa anasubiri lakini nikawa nimejaribu kumtafutia mahali pakufanya kazi ila sijafanikiwa, kwahyo naomba kwa mtu mwenye msaada ,maana bado sijapata pesa yakumnunulia equipments ili ajiajiri peke yake ila nimemuhaidi. Naomba ndugu zangu msaada wenu,

Vitu anavyofanya:
* Camera operating
* Video editing( misic video and Film, documentaris and TV advert)
* Visual effects (using adobe After effects)
* Audio producing ( using cubase MID,
* Adobe Audition)
* Anapiga keybord na guitar
* IT (software and hardware)
* Electronics somehow
* TV advert( kutengeneza motion graphics na stil)
* Photoshop ( graphics designing)
* Lighting in video production(anafanya setup)
* Stage lighting (anafunga na kuzicontrol)

Yapo mengine ila kwa haya ndio nimemshauri aanze nayo ,ni mtu wakupenda kujaribu na upenda kufanya kitu kwakujiamini au hata kama akiwezi ataakikisha mpka amekifanikisha ndio alale.
Naamini mtanisaidia ndugu zangu kumtafutia mdogo wenu huyu hata katika Television anaweza fanya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom