Naomba msaada haraka jameni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada haraka jameni

Discussion in 'JF Doctor' started by Mtego wa Noti, Dec 25, 2010.

 1. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Mke wangu ana mimba ya miezi 3 sasa juzijuzi usiku wa manane aliamka usiu akaona majmaji yanatiririka sehemu zake za siri. Nikahofu kuwa labda ujauziti umeharibika, nikampeleka hospitali akapimwa na akaona hakuna tatizo ila akaambiwa apunguze kazi. sasa leo tena imemtokea na bado mm nimechanganyikiwa sijui la kufanya maana nilipompeleka hospitali hakupewa dawa yoyote zaidi ya kuambiwa apunguze kazi. Kwa ufupi mke wangu kwa sasa hafany kazi yoyoe zaidi ya kazi za nyumbani. what can I do to make sure that the pregnancy prolongs?
  Please help me in this matter!!!
   
 2. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi kumbe una mke ilikuwaje ukaishia morogoro na dada aliyekeketwa...ama!
   
 3. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  hali hii kwa kweli inaninyima raha kabisa...pls help
   
 4. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole sana,jaribu kumpeleka hospitali tofauti wamcheki tena...
   
 5. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  achana na hiyo, ilikuwa ni kabla ya kuowa...kwa sasa nimetulia kama maji mtungini...
   
 6. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  asante sana kwa ushauri. ila nilipomleleka alifanyiwa ultrasound tu..hakupewa hata dawa...
   
 7. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #7
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  baada ya kuangalia hapa na pale nimeona ya kuwa discharge ni kitu cha kawaida ila maji sio kawaida... nakushauri umwone gynecologist issue inayoinvolve mke wako na mtoto ni very serious comment tu za hapa hazitoshi physical checkup ni bora. lakini as far as i have seen discharge ni kitu cha kawaida.
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  kama ni discharge na ni kitu cha kawaida basi hakina dawa... lakini mpeleke akachekiwe upate second opinion
   
 9. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Thanks mkuu..hii inaniumiza kichwa mnomaana imejirudia na kwa kweli inanipa headache...I have to see gynaecologist..
   
 10. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #10
  Dec 25, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,562
  Likes Received: 622
  Trophy Points: 280
  Apunguze sana hizo unazosema kazi za nyumbani, ni muhimu kama inawezekana asifanye kazi kabisa kwani mimba ni changa, pia ni vizuri kupata ushauri wa wataalamu.
   
 11. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #11
  Dec 25, 2010
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  mtego wa noti pole sana. For yo info kazi za nyumbani i nyingi sana na zinamchosha mama mjamzito. Jaribu kumpunguzia kazi asiiname sana wala kusimama muda mrefu. Ata akienda hosp hatapewa dawa maana c ugonjwa. Hope this will help.
   
 12. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #12
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  asante sana mkuuu
   
 13. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #13
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  thanks a lot tatiana...
   
 14. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #14
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  inawezekana kabisa unalosema. siku ilipotokea, she had a busy day, same as today...she has been busy all the day, si unajua tena x-mass. let me try to check gynas
   
 15. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #15
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  naona kama kuna post uliweka halaf umeiondoa...ilikuwa inasema kuhusu kuwa hiyo discharge ni cleaning of the vagina.. hii inawezekana kwa mjamzito?maana wale walikuwa ni kama ndio wameanza kupata hedhi.
   
 16. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #16
  Dec 25, 2010
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  yo welcome, i know how it feels.
   
 17. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #17
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  kwani hili tatzo laweza kuendelea mpaka kitakapofika kipindi cha kujifungua?
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  Dec 25, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,813
  Likes Received: 83,194
  Trophy Points: 280
  Rudi tena hospitali haraka sana, ikiwezekana hospitali tofauti na ile ya kwanza. Kama bado ushauri ni wa kupumzika basi apumzike kweli na kuacha kabisa kazi nzito na ambazo inambidi asimame kwa muda mrefu sana na pia ainame kwa muda mrefu. Kama unaweza kupata mtu wa kuwasaidia kazi za nyumbani basi itakuwa ni vizuri zaidi ili kuhakikisha ujauzito wenu unafikisha muda unaostahili. Kila la heri.

  MERRY XMAS
   
 19. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #19
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  thanks mkuu...i am going to follow your advice. thanks a lot
   
 20. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #20
  Dec 25, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  pole,just pray
   
Loading...