Msingi_Mbio
JF-Expert Member
- Jul 25, 2012
- 336
- 44
Nimeizima vizuri lakini leo kuwasha imegoma kuwaka nimeifungua ndani kwenye motherboard kuna kitaa cha kijani kinawaka tatizo itakuwa ni nini na nifanyeje kuifanya iweze kuwaka ?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
ok tunashukuru kwa kufanikiwa, ila nadhani ilikua inazungusha fan kama ingekua haizungushi kuna capacitor hua zinakua ndio tatizo.All the best.Nashukuru mkuu imekubali nimewasha kwa kubonyeza F8
Ubarikiwe mkuu
Nitakucheki mkuu
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums