Naomba Msaad wa kiutaalam I phone 7+

Naomba Msaad wa kiutaalam I phone 7+

Heisenberg

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2017
Posts
1,688
Reaction score
2,982
Wakuu ninamiliki iphone 7plus, miezi kadhaa nilipata update ya ya IOS 13. Ikaja na tatizo kuto ku preview front Camera kwenye Third party apps kama Vile Whatsaap, Zoom, Telegram, Instagram NK.

lakini nikitumia iyo camera kwa App simu ya kamera ipo sawa tu haina shida, shida inakuja kwenye apps nyingine kioo kinakua cheusi tuu hakuna preview yoyote.

Shida nyingine ni kwamba App ya Jamii forums ilikuwa inastack sana. Yani nikiwa nasoma thread wakati nascrow lazima istack hivyo inabid niifunge na kuanza upya japokua baada ya kupata IOS 14 shida hii imeisha.

Naomba msaada wa shida hii
 
Ios pia siku hizi ina mambo ya permission, nafkiri kwenye privacy ingia tafuta app husika uliodownload then angalia permission zake hakikisha permission ya camera ipo on.

Nimechek zote zipo enabled.
 
Back
Top Bottom