naomba msaaada namna ya ku unlock htc isiyotumia lain..

naomba msaaada namna ya ku unlock htc isiyotumia lain..

saambili

Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
25
Reaction score
4
nisaidien wapi mafundi wa kudli na hiz simh sisizo na sehem ya kueka cheap
 
HTC isiyotumia sim card most likely ni CDMA hizo simu badala ya ku-unlock unatakiwa kuflushi ila sijui utatumia kwenye network ipi maake nyingi ni GSM. Shida ya CDMA ukiziflashi km ilikuwa ni ya Sprint(CDMA) haiwezi kufanya kazi Verizon(CDMA) Ila sijui kwa hapo Dar.
 
Back
Top Bottom