ni choice yako tu. unaweza ukajiunga na 'banjuka' inayochaji elfu kwa saa au ukachagua bundles za wiki na mwezi.
speed ni nzuri na haikatiki-katiki ovyo, ila coverage yake ni limited kwa mijini.
still ni bora mara mia kuliko zantel maana kuna baadhi ya vijiji ambako utapata network.
Airtel ni the best kwa gharama ila iko slow.
Voda haiaminiki sana ingawa kuna wakati huwa nzuri.
Tigo inafanya vizuri jijini Dar-es-salaam.
tuombe tupate mwekezaji mwingine bora wa broadband