Reginald L. Ishala JF-Expert Member Joined Jun 18, 2011 Posts 3,810 Reaction score 6,802 Feb 11, 2019 #1 Samahani, WanaJF! Naomba mnitajie majina ya vitabu vya Information Technology (IT) vinavyohusiana na "DATABASE, "NETWORK" & "HACKING SYSTEM" navihitaji sana. Kama mnazo link za vitabu hivyo niungieni ili nivisome na kuvipakua.
Samahani, WanaJF! Naomba mnitajie majina ya vitabu vya Information Technology (IT) vinavyohusiana na "DATABASE, "NETWORK" & "HACKING SYSTEM" navihitaji sana. Kama mnazo link za vitabu hivyo niungieni ili nivisome na kuvipakua.
thesym JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 3,867 Reaction score 4,859 Feb 11, 2019 #2 Baadhi ya vitabu. Database Library Genesis: - Morgan Kaufman Relational Database Design and Implementation 2. Networking Library Genesis: Gul N. Khan (Author, Editor), Krzysztof Iniewski (Editor) - Embedded and Networking Systems Design, Software, and Implementation (Devices, Circuits, and Systems) 3. Library Genesis: coll. - Gray Hat Hacking The Ethical Hacker’s Handbook Kwa vitabu vingi zaidi tembelea link hii ya chini Library Genesis Kwenye hiyo website utakuta vitabu vya kila aina.
Baadhi ya vitabu. Database Library Genesis: - Morgan Kaufman Relational Database Design and Implementation 2. Networking Library Genesis: Gul N. Khan (Author, Editor), Krzysztof Iniewski (Editor) - Embedded and Networking Systems Design, Software, and Implementation (Devices, Circuits, and Systems) 3. Library Genesis: coll. - Gray Hat Hacking The Ethical Hacker’s Handbook Kwa vitabu vingi zaidi tembelea link hii ya chini Library Genesis Kwenye hiyo website utakuta vitabu vya kila aina.
Reginald L. Ishala JF-Expert Member Joined Jun 18, 2011 Posts 3,810 Reaction score 6,802 Feb 13, 2019 Thread starter #3 thesym Asante sana mkuu, Pamoja sana kiongozi.