Naomba mnitag kwenye stori za kishirikina

GoPPiii.

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
1,787
3,051
Habari wakuu,

Kuna nyuzi za story zimo humu JF zinahusu mambo ya kishirikina,utajiri wa kishirikina, kuua watu, na zingine zote zinazohusu mambo ya hivo, naomba msaada wa kuwa tagged ili nizijud ziko pande zipi nizisome.

Natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…