BOYA
Member
- Jul 2, 2013
- 24
- 5
mimi ni MVULANA mwenye miaka 23 ninatatizo la kushiriki tendo la ndoa binafsi (ni mwanachama mzuri sana wa CHAPUTA i mean punyeto) nashindwa kuacha nimejaribu mara nyingi kuacha nimeshindwa na sipendi niendelee na huu mchezo lakini nashindwa kujizuia imefikia hadi sahivi sijielewi kwani naweza nikaingia fb nikaonapicha ya bint yeyote tu nikaingiwa na hisia kali za kimapenzi najikuta natafuta choo au bafuni nakwenda kujimalizia huduma huko na tabia hii imepelekea nashindwa hadi kutongoza kwakuwa nakuwa na haibu sanaaa naona ni bola niendelee na kujichua nimesha jichua maranyingi mno hadi naona mabadiliko mwilini mwangu naombeni ushauli nduguzangu nifanyeje?