😁😁😁😁Matapeli wakubwa kwasasa wamehamishia makazi na ofisi zao makao makuu ya nchi
Yaani ilikuwa simu moja kabla hajamaliza mazungumzo anapokea nyingine😁😁.
😁😁😁😁Matapeli wakubwa kwasasa wamehamishia makazi na ofisi zao makao makuu ya nchi
Tajiri wa kusini, zingatia hapa... 🤝 🤝.Tajiri wa kusini huko kusini si ndo kwenyewe? Ni mwendo wa ufuta korosho na mbaazi.
Uwe makini kuna barua fake nyingi za uhamisho, wanaokutwa nazo wanafunguliwa kesi.
(Barua inatoka ofisi husika lakini inakuwa ya magumashi).