Babuu wa ngereza
Senior Member
- Feb 23, 2013
- 134
- 12
shu2ka sura hata mbuzi anayo ckhz wanacheki pochi
Story za form two hizi!!! Mmemaliza mtihani?
hi every body mm ni kijana ambae najikubali kuwa ni bonge la hand some boy kuna binti nampenda sana anaitwa irene huyu binti nimekutana nae facebook kwa bahati nzuri aliweka namba yke facebook nikaamua kuichukua then kumpigia wow alipokea na kuniuliza mm nani nikamjibu elias nilipomjibu akaniambia.ok nimeshakujua tayari nikaendelea kuongea naye huyu binti ni mcheshi sana so nikaamua kumtongoza alichonijibu huyu binti ni kwamba"ww hata haujaniona alafu unataka niwe girl friend wako na kiukweli kabisa sikuwahi kumuona hata siku moja ila nimemuona kwenye fb bac tukaendelea kuongea kuhusu mm kumtaka kimapenzi yule binti akanijibu sitakujibu chochote mpaka tuonane nikamjibu poa haina nouma sasa mara siku nyingine aniambie hawezi kuwa na mm coz tayari amewaiwa ila mm bdo nampenda na nataka awe ma girl.friend ni fanyaje naombeni ushauri wenu jamani
Ngoja nikukaushie
Kusema kweli boy mm nilikuwa kama wewe na sitasahau mwaka 2011 nilikutana na dem fb..of course najikubali ni presentable hivyo nikawa cna wasiwasi dem picha ilikuwa inalipa mbayaaaaa..Tukachart tukawa wapenzi tulioshibanaaaaa..Siku nilipokutana naye sikuamini kile ninachokiona!! dem mfupi kama katuman(mahindi yale mafupiiii) dem hasomeki sura nikisimama naye ananifikia kiunoni nilikomaaa!! toka siku hiyo niliapa fb kutongoza nisiyemjua mwiko!!
Chukua hiyo wee mrugaruga usiyejua kuwa unajitapeli!!