Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
Mbona kuna mtu aliniambia kuna rafiki yake anaolewa na mtu ambae hawajawahi hata siku moja kufanya nae hilo tendo? Au inawezekana amemficha ukwelihuo mtihani ni mgumu sana.....ukija oa jike dume je?? lazima mkaguane.........japo ni jambo jema kusubiri.......wengine wakiwa wawili wanapeana moyo.....but wakitawanyika kila mmoja anaende kujikuna kivyake....
Why not?Mkuu Kwa dunia ya sasa hapana kwakwel
So ulioa baada ya kumtest kwanza
Mbona kuna wengi tu wanazoHii kitu haipo mana sijui hawa dada zetu wanazaliwa siku hizi bila bikira
Why?
Unaweza ukawa unasubil kumbe mwenzio anaendelea na mishe hizo kama kawaida....alafu lazma MTU umjue ladha yake kabla...Why not?
Baada ya kutumiana kwa muda tu....So ulioa baada ya kumtest kwanza
Tatizo naona lipo kwa wanaume ila kwa sisi wadada hatuna hilo tatizo tuna moyo wa kuvumilia sanaUnaweza ukawa unasubil kumbe mwenzio anaendelea na mishe hizo kama kawaida....alafu lazma MTU umjue ladha yake kabla...