Naomba mnisaidie kuhusu hii hela

Naomba mnisaidie kuhusu hii hela

Mr pianoman

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2019
Posts
2,609
Reaction score
6,357
Niende moja kwa moja kwenye mada,

Wakuu ipo hivi kuna hela nimetumiwa hapa kiasi cha shilingi elfu tisini na nane (98,000).Lakini mtumaji aliye nitumia hiyo hela sijui kajichanganya vipi bhana badala aitume kwenye M-pesa yeye kaituma kama salio la kawaida kama mnavyo ona hapo chini kwenye picha .

Hivyo wakuu naombeni msaada wenu hii hela naitoaje umu nimewapigia vodacom wameniambia hawawezi kuirudisha kwenye M-pesa. Hivyo nimeona nije kwenu wakuu mnipe ushauri wenu.
Screenshot_2019-11-02-19-33-38-1.jpeg
 
Kama wamekataa basi hakuna namna endelea Kula bando mpaka iishe na Kama unakibanda au mtu umwaminiye mpe awe anakurushia vifurushi mpaka iishe akukabidhi keshi.
 
Niende moja kwa moja kwenye mada,

Wakuu ipo hivi kuna hela nimetumiwa hapa kiasi cha shilingi elfu tisini na nane (98,000).Lakini mtumaji aliye nitumia hiyo hela sijui kajichanganya vipi bhana badala aitume kwenye M-pesa yeye kaituma kama salio la kawaida kama mnavyo ona hapo chini kwenye picha .

Hivyo wakuu naombeni msaada wenu hii hela naitoaje umu nimewapigia vodacom wameniambia hawawezi kuirudisha kwenye M-pesa. Hivyo nimeona nije kwenu wakuu mnipe ushauri wenu. View attachment 1252198
Anza biashara ya kuuza vocha(za kurusha)
 
DUH! huyo mtu kumpata ndio shughuli hapa mkuu ila nitajaribu hili wazo lako mkuu nione.
Kama wamekataa basi hakuna namna endelea Kula bando mpaka iishe na Kama unakibanda au mtu umwaminiye mpe awe anakurushia vifurushi mpaka iishe akukabidhi keshi.
 
Sajiri Ama chukuwa lain mpya ya voda. Mzgo wote weka huko
Baada ya hapo uwe unasukuma mdogo mdogo kwa jamaa, ndugu na marafk . Na wew huku unajipongeza taratibu

If ur bize jiunge RED RELAX.
 
Mkuu, hiyo unamuambia aliyekutumia hiyo hela airudishe, inarudi kwenye akaunti yake kisha anatuma tena
 
Ilishawahi kunitokea. Nilinunua laki badala ya ten.

Nilichokifanya niliongea na wadau nikawapa ofa ya kuwapatia vocha ya Tsh. 10,000 kwa malipo ya 9000.

Nilifanikiwa kuokoamo Tsh. 81,000 + Vocha ya ten.. Elfu tisa ikaenda na maji.

Pole sana mdau.
Asante sana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom