Naomba Mnipokee

Karibu sana hapa Lamu yakhee, kwani weye watoka wapi ati? watoka pemba ama mwembeni zanziberi?
 
Kriibu new mdau! Kwa tatizo lolote nifahamishe!
Uniform umeshapewa ?
Kama bado anzisha Thread fasta yenye heading "NAOMBA SARE ZA JF"
Ukidelay hadi kesho muda kama huu sare umezikosa !
Shauri yako, usije kulalamikia member hapa .
 
kaka apitie na stoo achukue jembe...kuna shamba la JF!
 
yule mwanamke bure kabsaa!...hafugiki kama kunguru aisee!
Hahahaa kwani kapotelea wapi?
Mwenzio Excellent kajipatia kimwana wa kudumu nakushangaa wewe unazubaa tu
 
mazee tumchek bana mshkaji mgeni kaja humu...acha noma!...muoneshe mazingira ya humu!
 
Haya ndo mazingira....Kesho akija aniambie nimtambulishe kwa shemeji na dada zake then mwishoni nitamtambulisha kwa kaka zake wote ndani ya Chit-Chat...
 
Kriibu new mdau! Kwa tatizo lolote nifahamishe!
Uniform umeshapewa ?
Kama bado anzisha Thread fasta yenye heading "NAOMBA SARE ZA JF"
Ukidelay hadi kesho muda kama huu sare umezikosa !
Shauri yako, usije kulalamikia member hapa .

mwambie kijana afanye haraka uniform ziko chache na mzigo haujafika toka china!na sitoi uniform mpaka atume hayo maombi rasmi!asante
 
Wenyewe mpo, ndo nimetia timu naomba ushilikiano wenu tusongeshe hili jahazi letu la maisha.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…