Kyeli Lula
Member
- Mar 7, 2011
- 65
- 6
karib sana. hii ni jamii na kuna mpaka vichaa humu ndani lakini wanatumia nick name za maselebriti. utawajua kwa michango yao. kuwa mvumilivu. karib tenahello wana JF poleni na shughulu za ujenzi wa taifa , pamoja na majukumu . naombeeni mnipokee kama mwanachama mwenzenu, mpokee pia mawazo, maoni na ushauri nitakapokuwa nachangia
asanteni na mungu awabariki
karib sana. hii ni jamii na kuna mpaka vichaa humu ndani lakini wanatumia nick name za maselebriti. utawajua kwa michango yao. kuwa mvumilivu. karib tena
ubarikiwe! inaonekana na wewe mgeni. karib sanaheee! Umensh2a sn kmbe kuna na vchaa humu ndan? Cjawah kujua. Thnx kw ku2juza.
ubarikiwe! inaonekana na wewe mgeni. karib sana
yep nilimaanisha hivo, sasa ushajua ,naomba uishi kwa tahazari maana mimi memba wote hapa JF wakipotea haina shida lakini ukipotea wewe hakyanani nitauza laptop. JF bila wewe ni sawa na pilau bila spices.aksante ila mi mgen mwnyej. Labda waniona mgen vle ckuwah kujua humu ndan 2po na vchaa!
yeop nilimaanisha hivo, sasa ushajua ,naomba uishi kwa tahazari maana mimi memba wote hapa JF wakipotea haina shida lakini ukipotea wewe hakyanani nitauza laptop. JF bila wewe ni sawa na pilau bila spices.
mara nyingi wanapendelea kutembelea jukwaa la siasa na lile la complaint, halaf ni ngumu kuwaelewa kama haujafanya kazi hospitali ya milembe. lakini usjali bana mimi nitakulinda , hapa kijijini wananiita ze natural protectortehe, tehe, tehe! Thanx sn klorokwin! Na mm nakuhakkshia kuwa cwez kupotea ili ucuze laptop ye2! Ntaanza kchukua tahadhar na hao vchaa waliopo humu. Unaweza kndokeza kdgo nkiona nn ndo ntajua huyu ss ndo kat ya wale vchaa wa Jf.
hello wana JF poleni na shughulu za ujenzi wa taifa , pamoja na majukumu . naombeeni mnipokee kama mwanachama mwenzenu, mpokee pia mawazo, maoni na ushauri nitakapokuwa nachangia
asanteni na mungu awabariki
hello wana JF poleni na shughulu za ujenzi wa taifa , pamoja na majukumu . naombeeni mnipokee kama mwanachama mwenzenu, mpokee pia mawazo, maoni na ushauri nitakapokuwa nachangia
asanteni na mungu awabariki