una umri gani? umetokea sehemu gani ya nchi? unapenda nini haswa? je wewe ni mwenye hasira? kabla sijakukaribisha lazima nikutusi kikwetu " Welcome sir and feel at home" ukilia basi hustahili kuwa hapa. rudi zako taratibu lakini kama utafurahishwa na hayo matusi basi karibu mpendwa