Oh! Karibu Kareena Kapor! Sijui kama umesoma kipengele kinachosema unapokuwa na issue yoyote, unatakiwa kuwasiliana na chige ... yaani mimi ambae ndie mkuu wa idara ya members wapya!
Kwa kuanzia, itabidi kwanza nihamishe hii thread yako niipeleke Jukwaa la Utambulisho manake hapa Jukwaa la Habari Mchanganyiko; sio pahala pake!