Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
Kuna mahali umesema unapiga mvinyo kidogo na raundi ya bia mbili tatu hushindwi hapa wewe mlokole! Dah nin wasiwasi na ugeni huu.Me mlokole bana huko kuna majaribu
Ha ha ha ha ha kunywa lakini usileweKuna mahali umesema unapiga mvinyo kidogo na raundi ya bia mbili tatu hushindwi hapa wewe mlokole! Dah nin wasiwasi na ugeni huu.
Mchungaji Crushwise upo kondoo wa bwana huyo pande za R chuga!
Ha ha ha ha ha kunywa lakini usilewe
Ha ha h hya bana preta ntamuone vp sasaBasi karibu mwana mi ndo huwa nasupply kibosho kavu pale r jamaa yangu huduma mpaka nyumbani. Mwone Preta akusajili kwanza
Ha ha h hya bana preta ntamuone vp sasa
Jamani karibuni na Iringa au huku hampangiwi kikazi??
Owk hamna shida ari4manka, karibu sana arusha,,, any day ukijiskia kutembelea sehemu za njiro, bugaluu, nick pub and the like maeneo hayo, na sehemu za ngulelo pia, cet garden pale, unaweza kunipm tukajumuika pamoja as jf members
Ni2mie pm mpendwa na miye ni mlokole pia! Ucwackilze wa2 wa mataifa....lol!
akitokea Tukuyu....Preta safarini Iringa.....
Haya mnapatikana siku gani namda gani
habar zanu wana jf..nimewamis cna kwa kweli
Sa me apa naenda arusha kesho ntakuwa huko kwa miezi minne kikaz sa me apa nahiyaji wanajf wawe waliopo arusha wanipe kampani km huwa mnaonana iyakuwa vzr na me nijimuike nao
Thanksw
akitokea Tukuyu....Preta safarini Iringa.....
paka jimmy njoo upokee mgeni huku