Bwana Chiniko
Member
- Jul 18, 2016
- 20
- 9
ASANTE SANAKipindi unamsubiria anayetumia c9 kuja kukupa mbivu na mbichi ingia online angalia specifications za hiyo c8 na c9. Utakua hatua moja mbele
Mkuu,Habari zenu wataalamu wa jukwaa hili, matumaini yangu wazi kabisa hamjambo na mnaendelea vizuri.
Nimepatwa na utata kidogo kuhusiana na simu aina ya Tecno C9, hiyo ni baada ya kuchanga viela vyangu na kutaka kununua.
Kikwazo kilianza baada ya kuanza kuulizia sifa zake, wapo walioniambia sio nzuri, zipo slow, isitoshe camera yake sio nzuri ukilinganisha na Tecno c8, wakaniambia ni bora c8 kuliko c9.
Kwenye wengi kuna mengi, naamini wapo wajuvi wa haya mambo au waliowahi kutumia simu hizi, waweze kunipa ushauri kuhusu hili suala maana limekuwa likiniweka njia panda.
Mwisho kabisa budget yangu ni laki 3 na nusu, kama kuna simu nyingine mnayoifahamu ni nzuri zaidi ya hii naweza pata kwa hiyo, iwe mpya pia sio mbaya mnaweza mkanipa mawazo yenu.
Wewe kwenye simu ulikuwa unahitaji nini zaidi maana hizo ni simu mbili tofauti zenye uwezo tofauti, japo zote ni za kampuni moja.
Ila kwa kiasi cha pesa unacho taka kuchukua mojawapo ya hizo simu kwanini usiangalie upande wa pili simu ambayo itakuwa imara.
Asante sana, vipi kwa upande wa Camera? maana napenda sana simu yenye kamera nzuriMimi nakushauri nunua C8 kwenye net ipo fasta sana
Chukua Huawei G7 hutajuta japo itabidi uongeze bajetiHabari zenu wataalamu wa jukwaa hili, matumaini yangu wazi kabisa hamjambo na mnaendelea vizuri.
Nimepatwa na utata kidogo kuhusiana na simu aina ya Tecno C9, hiyo ni baada ya kuchanga viela vyangu na kutaka kununua.
Kikwazo kilianza baada ya kuanza kuulizia sifa zake, wapo walioniambia sio nzuri, zipo slow, isitoshe camera yake sio nzuri ukilinganisha na Tecno c8, wakaniambia ni bora c8 kuliko c9.
Kwenye wengi kuna mengi, naamini wapo wajuvi wa haya mambo au waliowahi kutumia simu hizi, waweze kunipa ushauri kuhusu hili suala maana limekuwa likiniweka njia panda.
Mwisho kabisa budget yangu ni laki 3 na nusu, kama kuna simu nyingine mnayoifahamu ni nzuri zaidi ya hii naweza pata kwa hiyo, iwe mpya pia sio mbaya mnaweza mkanipa mawazo yenu.
Tatizo c7 haina 4g, wenzetu ulaya wanawaza 5g kwanini ubaki kwenye 3g?Mkuu,
Hebu itafakari na Tecno c7 aiseee! Iko murua sana kushinda hiyo c9
Mtoa mada zingatia na hili pia.kati ya simu nilizowahi kutumia, c8 ni the worst of all.. kwanza:-
c8 ina 1gb ram, 5mpx rear camera, haina 4g n.k... kiufupi c9 is the best
mkuu hivi simu gani zenye camera nzuri bajeti kuanzia 350 kushuka chiniMtoa mada zingatia na hili pia.
Zipo mada nyingi humu watu wameshauriwa simu gani wanunue kulingana na bajet aliyo nayo.
Sasa wewe inataka simu yenye camera nzuri then unataja tecno mkuu...!!!
cheif-mkwawamkuu hivi simu gani zenye camera nzuri bajeti kuanzia 350 kushuka chini