naomba mnikaribishe

oldd vampire

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
253
Reaction score
52
habari wana chitchat,kiukweli naipenda hii jukwaa nasoma kila siku yani ila natamani kucomment nashindwa mana kila post nayo iona ni kwamba wanaochangia ni walewale like mnajuana na mnajua nini mnachochat,binafsi nimependa sana humu,ila ndo nashndwa mana mm underground,welcome me jamani
 
Karibu sana yaani kuwa na amani vipi ofa yangu ya jana hukuiona au???
Nimerest in pisi nusu nimebakia nusu
 
Nipo tanga ki matatizo, baada ya jana kupotea stand na kuokotwa na Kailas na kunipeleka kwao na kufungishwa ndoa ya lazima

hahahha pole bwana kwaio my wife wako waja nae huku mujini?
 
karibu...na huyu aliyetangulia kukukaribisha ni mwanangu wa kike...kwa namna mambo yaendavyo, kesho atakabidhiwa lile taji la urembo la JF Miss Chitchat.

wow hongera zake,i bet ni binti mrembo sana na anasifa zote,hongera na kwako pia
 
Si ruhusiwi kuondoka, nimepewa ubavu wa nyumba, na pajero ila ctakiwi kutoka nje ya nyumba hadi waniruhusu, nikijaribu kutoroka tu mimba itahamia kwangu
hahahha pole bwana kwaio my wife wako waja nae huku mujini?
 
Si ruhusiwi kuondoka, nimepewa ubavu wa nyumba, na pajero ila ctakiwi kutoka nje ya nyumba hadi waniruhusu, nikijaribu kutoroka tu mimba itahamia kwangu

lol,ndo tanga hiyo pole bana,ila i bet mwanamke ni mzur so no offence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…